GMI PUBLICATIONS
GMI PUBLICATIONS
  • Home
  • Kupakua Vitabu
  • Kuhusu Sisi
  • Mawasiliano
  • Home
  • Kupakua Vitabu
  • Kuhusu Sisi
  • Mawasiliano
Picture
Pakua masomo hapo chini
"Jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia kwa halali neno la kweli"
​2 Tim 2:15. 


Ni wajibu wa kila Mkristo kusoma, kuchunguza, na kutafakari Neno la Mungu ili apate kumfahamu Mungu mwenyewe pamoja na kujua mapenzi ya Mungu kwa ajili ya maisha yake. Lengo kuu katika kujifunza Biblia ni kujenga uhusiano kati ya muumini na Mungu.

Hapo chini tumeweka masomo 35 ambayo Mkristo wa kawaida anaweza kutumia kujisomesha Neno la Mungu. Masomo haya yameandaliwa katika PDF ya saizi ya A4 ili mwanafunzi aweze kuyaprint na kuyajaza mwenyewe. 

discuss how to get answers

discuss that someone might want to disciple others


UTANGULIZI
Somo #1 - Utangulizi wa Masomo ya Biblia

MISINGI YA IMANI
Somo #2 - Misingi ya Imani 1
Somo #3 - Misingi ya Imani 2

KUELEWA BIBLIA
Somo #4 - Kuelewa Biblia 1
Somo #5 - Kuelewa Biblia 2
Somo #6 - Kuelewa Biblia 3
Somo #7 - Kuelewa Biblia 4
Somo #8 - Kuelewa Biblia 5
Somo #9 - Kuelewa Biblia 6
Somo #10 - Kuelewa Biblia 7
Somo #11 - Kuelewa Biblia 8

KITABU CHA WARUMI
Somo #12 - Warumi 1
Somo #13 - Warumi 2
Somo #14 - Warumi 3
Somo #15 - Warumi 4


​KITABU CHA 1 WAKORINTHO
Somo #16 - 1 Wakorintho 1
Somo #17 - 1 Wakorintho 2
Somo #18 - 1 Wakorintho 3
Somo #19 - 1 Wakorintho 4
Somo #20 - 1 Wakorintho 5


​KITABU CHA 2 WAKORINTHO
Somo #21 - 2 Wakorintho 1
Somo #22 - 2 Wakorintho 2
Somo #23 - 2 Wakorintho 3​
KITABU CHA WAGALATIA
Somo #24 - Wagalatia 1

KITABU CHA WAEFESO
Somo #25 - Waefeso 1
Somo #26 - Waefeso 2

KITABU CHA WAFILIPI
Somo #27 - Wafilipi 1

KITABU CHA WAKOLOSAI
Somo #28 - Wakolosai 1

KITABU CHA 1 WATHESALONIKE
Somo #29 - 1 Wathesalonike 1

KITABU CHA 2 WATHESALONIKE
Somo #30 - 2 Wathesalonike 1

KITABU CHA 1 TIMOTHEO
Somo #31 - 1 Timotheo 1
Somo #32 - 1 Timotheo 2

KITABU CHA 2 TIMOTHEO
Somo #33 - 2 Timotheo 1

KITABU CHA TITO
Somo #34 - Tito 1

KITABU CHA FILEMONI
Somo #35 - Filemoni 1
Proudly powered by Weebly