GMI PUBLICATIONS
GMI PUBLICATIONS
  • Home
  • Kupakua Vitabu
  • Kuhusu Sisi
  • Mawasiliano
  • Home
  • Kupakua Vitabu
  • Kuhusu Sisi
  • Mawasiliano

WOKOVU - Kazi Kuu ya Mungu
(pakua hapo chini)


Picture
​Kwa nini tunahitaji kuokolewa? 
Kwa nini hatuwezi kujiokoa? 
Nifanye nini nipate kuokoka?

Kila anayesali kanisani ameokoka? 
Uzima wa milele unadumu muda gani?


Kitabu hiki kinajibu maswali haya na mengi mengine. Mwaandishi Fred Vinton anaonyesha jinsi Biblia inavyofundisha kuhusu wokovu akipigania mafundisho ya uongo kwa kuwa kuelewa wokovu tofauti na Neno la Mungu huleta hukumu ya milele.

Publisher: GMI Publications
Mwandishi: Fred Vinton
Kurasa: 92
​Copyright © 2017
​
SOMA BILA KUPAKUA
(Chagua hii ukitaka kusoma kitabu hiki kwenye simu au kompyuta yako bila kupakua ili kisichukue nafasi kwenye simu au kompyuta yako) 
PAKUA FAILI YA EPUB
(Faili hii ni nzuri kwa ajili ya kusoma kwenye Simu ama Tablet lakini utahitaji kupakua E-Reader kwanza - Somo maelezo hapo chini)
Pakua Faili ya PDF A4
(Faili hii ni nzuri kwa ajili ya kusoma kwenye kompyuta ama kuprint na kupiga photocopy kwenye karatasi za saizi ya A4) 
BURE - Vitabu vyetu vyote ni bure kupakua na kutumia kwenye simu au kompyuta yako.

HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA - ​GMI Publications ina haki zote za tafsiri ya kitabu hiki. Hairuhusiwi kuchapa na kuuza sehemu yo yote ya kitabu hiki bila ruhusua ya GMI Publications. Vilevile hairuhusiwi kuuza nakala za kikompyuta (digital copies) bila ruhusa ya GMI Publications

NAMNA YA KUTUMIA - Pengine simu au kompyuta yako tayari inaweza kufungua faili hizo ili uweze kuzisoma. Kama hapana kuna application nyingi unazoweza kupakua bure kwenye intaneti katika "Android Play Store" au "App Store" kwa Apple
(iphone huja na "Books App" inayoweza kusoma EPUB). PDF ni vigumu kusoma kwenye simu hivyo ni bora kupakua faili ya EPUB na kupata application (E-READER) inayoweza kusoma EPUB. Mifano ya application za E-READER za kupakua ni "Play Books", au "PocketBook", au "FBReader", au "UB Reader" n.k. Kwa kweli ziko nyingi na unaweza kuchagua application unayotaka mwenyewe. Lazima, tu, application unayochagua iweze kusoma "E-BOOK" ya aina ya EPUB.

Proudly powered by Weebly