Godwin Gugu na Godfrey Ngano
(pakua hapo chini)
"Kumbe, katika kanisa letu kuna vikundi vingi!" "Wanatudharau!" "Watu wanaosema 'Nimeokoka' wamejaa kiburi!" "Tangu nilipookoka sijafanya dhambi! Haiwezi kutokea!" "Mchungaji wetu hajaokoka!" "Hakuna kuokoka hapa duniani!" Biblia inasemaje? Tafuta mwenyewe mafundisho ya Neno la Mungu kuhusu... Wana wa Mungu na Wokovu wao. Je, tukifanya dhambi, Baba atatutenga na familia? Ujifundishe mwenewe, na ujifunze kufundisha wengine. Publisher: Scripture Union Tanzania Mwandishi: John Rowse Kurasa: 63 Copyright © 2001 |
(Faili hii ni nzuri kwa ajili ya kusoma kwenye kompyuta ama kuprint na kupiga photocopy kwenye karatasi za saizi ya A4)
(Faili hii ni nzuri kwa ajili ya kusoma kwenye Simu ama Tablet lakini utahitaji kupakua E-Reader kwanza - Somo maelezo hapo chini)
(Chagua hii ukitaka kusoma kitabu hiki kwenye simu au kompyuta yako bila kupakua ili kisichukue nafasi kwenye simu au kompyuta yako)
(Faili hii ni ya PDF A4 na ni vizuri kuchapa karatasi hii kwa ajili ya kutunza majibu yako wakati unaposoma kitabu hicho)
(Faili hii ni ya PDF A4. Ina majibu ya Mwandishi wa kitabu. Baada ya kujibu maswali yote ya kitabu mwenyewe unaweza kupakua faili hii na kulinganisha majibu)
BURE - Vitabu vyetu vyote ni bure kupakua na kutumia kwenye simu au kompyuta yako.
HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA - Scripture Union Tanzania ina haki zote za kitabu hiki. Hairuhusiwi kuchapa na kuuza sehemu yo yote ya kitabu hiki bila ruhusua ya John Rowse. Vilevile hairuhusiwi kuuza nakala za kikompyuta (digital copies) bila ruhusa ya John Rowse.
NAMNA YA KUTUMIA - Pengine simu au kompyuta yako tayari inaweza kufungua faili hizo ili uweze kuzisoma. Kama hapana kuna application nyingi unazoweza kupakua bure kwenye intaneti katika "Android Play Store" au "App Store" kwa Apple (iphone huja na "Books App" inayoweza kusoma EPUB). PDF ni vigumu kusoma kwenye simu hivyo ni bora kupakua faili ya EPUB na kupata application (E-READER) inayoweza kusoma EPUB. Mifano ya application za E-READER za kupakua ni "Play Books", au "PocketBook", au "FBReader", au "UB Reader" n.k. Kwa kweli ziko nyingi na unaweza kuchagua application unayotaka mwenyewe. Lazima, tu, application unayochagua iweze kusoma "E-BOOK" ya aina ya EPUB.