1 Yohana
(pakua hapo chini)
Ushirikiano katika Kanisa una faida gani?
Una furaha kweli itokayo Mungu? Unawezaje kuzuia dhambi katika maisha yako? Unapendana kweli na Wakristo wenzako? Una uhakika umeokolewa? Katika uzee wake, Mtume Yohana aliwaandikia kondoo zake kama Mchungaji wao. Walikuwa Wakristo tayari lakini Yohana alitaka kuwajenga wawe imara zaidi katika misingi ya ukristo wao. Dr. William Vinton ameandika kitabu hicho kukusaidia kuchunguza barua ya kwanza ya mtume Yohana. Anaeleza mazingira aliyoandikia Yohana na anafafanua mafundisho yake makubwa. Njiani Dr. Vinton anakuuliza maswali yatayokusaidia kutafiti Neno la Mungu na kujichunguza mwenyewe ili ubadilike kufuatana na mapenzi ya Mungu kwa ajili ya maisha yako. Publisher: GMI Publications Mwandishi: Dr. William Vinton Kurasa: 63 Copyright © 2017 |
(Faili hii ni nzuri kwa ajili ya kusoma kwenye kompyuta ama kuprint na kupiga photocopy kwenye karatasi za saizi ya A4)
(Faili hii ni nzuri kwa ajili ya kusoma kwenye Simu ama Tablet lakini utahitaji kupakua E-Reader kwanza - Somo maelezo hapo chini)
(Chagua hii ukitaka kusoma kitabu hiki kwenye simu au kompyuta yako bila kupakua ili kisichukue nafasi kwenye simu au kompyuta yako)
BURE - Vitabu vyetu vyote ni bure kupakua na kutumia kwenye simu au kompyuta yako.
HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA - GMI Publications ina haki zote za tafsiri ya kitabu hiki. Hairuhusiwi kuchapa na kuuza sehemu yo yote ya kitabu hiki bila ruhusua ya GMI Publications. Vilevile hairuhusiwi kuuza nakala za kikompyuta (digital copies) bila ruhusa ya GMI Publications
NAMNA YA KUTUMIA - Pengine simu au kompyuta yako tayari inaweza kufungua faili hizo ili uweze kuzisoma. Kama hapana kuna application nyingi unazoweza kupakua bure kwenye intaneti katika "Android Play Store" au "App Store" kwa Apple (iphone huja na "Books App" inayoweza kusoma EPUB). PDF ni vigumu kusoma kwenye simu hivyo ni bora kupakua faili ya EPUB na kupata application (E-READER) inayoweza kusoma EPUB. Mifano ya application za E-READER za kupakua ni "Play Books", au "PocketBook", au "FBReader", au "UB Reader" n.k. Kwa kweli ziko nyingi na unaweza kuchagua application unayotaka mwenyewe. Lazima, tu, application unayochagua iweze kusoma "E-BOOK" ya aina ya EPUB.